search.html

Jumanne, 11 Oktoba 2016

Maneno ya sallam kwa alikiba

Habari kuhusu alikiba KENYA baada ya kusemekana aliziwa mic aliyo kua aki perfome nayo na hivyo kuzua mtafaruk mkubwa kwenye tasnia ya bongoflava ujumbe huu uliokuwa kwa mahadhi ua barua ulisomeka kama ifuatavyo......


Kwako brother @officialalikiba 🙏🙏🙏hope upo poa!sorry kwa hiki ila kutokana na intervew yako ya jana nimegundua kitu kuwa hamna team work na management yako ww ulisema tofauti WHY Aidan aseme tofauti?Inaonekana kama watu unaofanyanao kazi cyo Professional,ukimuacha Seven I think the rest of them wanaenjoy kusafiri na ww nakupiga picha ila hawapo kukushauri nakutazama mazingira uliyopo ni nn kitaendelea,na kwa nn Sallam kila mara yy ndo akufate?Nairobi na ss Mombasa,huenda among ur people anatoa some information about ur security that's why anakuwa na power hiyo,Ushauri wangu:1Kuwa makini na watu unaofanya nao kazi unakila sababu yakuwachunguza na kumsimamisha mtu kazi endapo ukihakikisha kuna vitu vinaenda sivyo na yy muhusika,2Tembea na bodyguard wako toka uku Tz popote unapoenda kufanya kazi nje ya nchi especially unaenda MTV muhimu sana sana uko kumbuka team Domo wote watakuwepo na hao watu unaopenda kusafiri nao hawana msaada na ww wowote,3 Haina sababu ya kusafiri kila mahali na watu wasio na msaada na ww Ali punguza Cost,4Msaport Abdu huyo ni damu yako Ali mdogowako ameemda kufanya show Mwanza hukutoa support yakutosha haipendezi kumbuka huyo ndo atakayekunyakua ukidondoka,watajitokeza watu wengi sana kwa ss wanawake kwa wanaume kujifanya wazuri kwako but before hawakuwepo NDUGU Kwanza,sorry kama nitakuwa nimekukwanza but kuwa makini na serious ktk kazi zako kumbuka mara nyingi anayekuzuru hatoki mbali,Amka

Umebalikiwa kuwa na die hard fans ambao wanamapenz ya kweli na wewe na wanaumia Sana pale wanapona mambo yanakwenda ndivyo sivyo
Ivii @kibabude alifata nini Mombasa kazi yake haswa ilikuwa ni nini @kareem_saad wakati asallam anakuja nyuma ya stage wakati kiba yupo jukwaani wewe ilikuwa na unafanya nini sijapost ili kupandikiza chuki hapana ila ni mtazamo wangu
munguibalikibongofleva
mungumbaliki @officialalikiba
mungumbliki @officialabdukiba Regrann